Jux, DJ Tarico & G Nako – Uta Dead LYRICS

Admin Avatar

Posted by Neph SureLoaded

Jux - Uta Dead ft. DJ Tarico & G-Nako

Jux, DJ Tarico & G Nako – Uta Dead LYRICS

Jux, Dj Tarico & G Nako – Uta Dead Lyrics.

STREAM/DOWNLOAD MP3

LYRICS:

Ishuu wozaa,
Eh Mungu wangu wamerudi tena.
Ah ah ah ah ah ah ah, Ishu
Zombiee, Zombiee. Mmh.
Foxxie, Foxxie
Iih iih iih iih iih ah iih (Deadly)
Iih iih iih iih iih ah iih (Badman)
Iih iih iih iih iih ah iih (Waraaa, Ishiiii)

Download Now

Verse: Jux
Nikifanikiwa (Nikifanikiwa)
Wewe haupendi (Wewe haupendi)
Kwa sasa nina ka-toyo tu, Je nikipata Range ?(We utakufa)
Ushamwaga radhi (Ushamwaga radhi)
Ushavunja nazi (Ushavunja nazi)
Mwenzako kijukuu cha mtume, Mjomba mbona kazi (We uta dead)
Una nyingi changamoto, Kichwa kimepata moto, Na bado unateseka, Eti Jux atapata lini mtoto (We utakufa)
Dorime ya kwanza (Oya wanangu eh)
Dorime ya pili (Oya wanangu eh)
Wenzako wanarudisha chupa, We unataka lipa bill (We uta dead)

Bridge Chorus:
Wenye chuki wasio tupenda, Wape salamu (Wape salamu)
Aah hao wanafki wasio tupenda, Wape salamu (Wape salamu)
Hi, How are you?
Bye!
Hi, How are you?
Bye!
Hi, How are you?
Bye!

Chorus
We utakufa
We utakufa (How are you? Bye!)
We utakufa (Swagg Daddy Ray)
Aaah we uta dead
We utakufa
We utakufa (How are you? Bye!)
We utakufa (How are you? Bye!)
Aaah we uta dead

Chuku chu aah
Wuu wuu chuku chu aah
Aah wuu wuu chuku chu aah
Wuu wuu chuku chu aah

Verse: G-Nako
Weee! umbea ukizidi (Umbea ukizidi)
Sitaki ushahidi (Sitaki ushahidi)
Ma connection yako sitaki, Ujui mwanangu Gigy (We utakufa)
Eh bana noma (Eh bana noma)
Kuna ngoma (Mmh kuna ngoma)
Wanakuita Zee la kuchovya, Zee la misodoma (We uta dead)
Huyo malaya, Au umetoswa hapo patamu (We utakufa)
Una kikoba , Una upatu, Kaausha damu (We uta dead)
Tupo mtandaoni (Tupo mtandaoni)
Tuna fake fake (Tuna fake fake)
We ingia kichwa kichwa mwanangu, Utavuta kudadadeki (We utakufa)

Bridge Chorus:
Wenye chuki wasio tupenda, Wape salamu (Wape salamu)
Aah hao wanafki wasio tupenda, Wape salamu (Wape salamu)
Hi, How are you?
Bye!
Hi, How are you?
Bye!
Hi, How are you?
Bye!

Chorus
We utakufa
We utakufa (How are you? Bye!)
We utakufa (Swagg Daddy Ray)
Aaah we uta dead
We utakufa
We utakufa (How are you? Bye!)
We utakufa (How are you? Bye!)
Aaah we uta dead

Chuku chu aah
Wuu wuu chuku chu aah
Aah wuu wuu chuku chu aah
Wuu wuu chuku chu aah

Outro:
Waya waya waya waya waya wayaaa
Aaaaaah waya waya wayaaa
Waya waya waya waya waya wayaaa
Aaaaaah waya waya wayaaa

Do you find SureLoaded useful?

Click here to give us a five-star rating!

0 comments on "Jux, DJ Tarico & G Nako – Uta Dead LYRICS"

No comments yet. Be the first to comment!

Leave a Reply

Davido – Be There Still
1
Bhadboi OML – 247 ft. Gimba
2
Tekno – Ikebe
3
Joeboy – Taxi Driver
4
Rybeena – 1999
5
Candy Bleakz – My Dear
6
Blaqbonez – W For Wetego ft. Young Jonn & Phyno
7
Young Jonn – Only Fans
8
Phyno – Can’t Look Back
9
Geh Geh ft. Berri-Tiga – Opueh
10